Thursday, 6 July 2017

Watford na wao wamtaka Chalobah

Kinda wa Chelsea mwenye asili ya Sierra Leone anayeichezea timu ya taifa ya England-U21, Nathaniel Chalobah amepata ofa nyengine ya kwenda kukipiga katika klabu ya Watford inayoshiriki ligi kuu Uingereza maarufu kama Premier League.
Mchezaji huyo ambaye alishawai kuichezea klabu hiyo kwa mkopo amepokea ofa hiyo muda mfupi baada ya Swansea kupeleka ofa pia kumtaka mchezaji huyo.
Chalobah ameshindwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza akicheza kama kiungo mkabaji na pia huwa anachezaga kama kiungo mchezeshaji nafasi ambazo zimeonekana ni ngumu kwake kutusua kuingia kwenye kikosi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.