Kocha Antonio Conte amerudi tena katika mchakato wake wa kumsajili mshambuliaji wa Swansea, Fernando Llorente baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la mwezi januari ambapo Swansea iligoma kumuuza kwa kuwa walikuwa kwenye kampeni ya kupambana kutoshuka daraja.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 32 amekuwa akimpendeza sana Conte ambaye waliwai kufanya kazi pamoja katika klabu ya Juventus na kwa maana hiyo Conte anataka kuungana nae tena.
No comments:
Post a Comment