Thursday, 6 July 2017

Usajili umekamilika; Lacazette atua Arsenal

Mshambuliaji mahiri mwenye uraia wa Ufaransa, Lacazette ametangazwa rasmi kujiunga na klabu ya London, Arsenal ambayo imemsajili akitokea Olympique Lyon ya Ufaransa. Dau lake la kusajiliwa ni £52milioni ambalo ndo dau ghali lililovunja rekodi klabuni hapo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.