Leo tumekuletea orodha ya wastani wa miaka ya wachezaji katika timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Huku Chelsea ikiwa nafasi ya 10.
20. Watford
*miaka 29 na siku 316
19. West Brom
*miaka 29 na siku 273
18. Stoke city
*miaka 29 na siku 96
17. Man city
*miaka 28 na siku 303
16. Everton
*miaka 28 na siku 187
15. Crystal Palace
*miaka 28 na siku 182
14. Leicester
*miaka 28 na siku 140
13. Burnley
*miaka 28 na siku 61
12. Hull city
*miaka 28 na siku 14
11. Swansea
*miaka 27 na siku 314
10. Chelsea
*miaka 27 na siku 235
-mchezaji mdogo zaidi ni Ola Aina akiwa na miaka 20 na siku 109
-mchezaji mkubwa kuliko wote ni John Terry akiwa na miaka 36 na siku 49
9. Middlesbrough
*miaka 27 na siku 164
8. West Ham
*miaka 27 na siku 139
7. Arsenal
*miaka 27 na siku 99
6. Bournemouth
*miaka 27 na siku 96
5. Man utd
*miaka 27 na siku 87
4. Sunderland
*miaka 26 na siku 325
3. Southampton
*miaka 26 na siku 160
2. Liverpool
*miaka 26 na siku 14
1. Tottenham
*miaka 25 na siku 266
NB; Orodha hii imetolewa na mtandao wa Telegraph.com tarehe 25-January-2017
No comments:
Post a Comment