Kocha mpya wa Barcelona, Ernesto Valverde amewatoa hofu wapenzi wa klabu na wale wanaofatilia timbwili linaloendelea juu ya nyota wao, Neymar Jr.
Valverde amesema mchezaji huyo ataendelea kubaki klabuni hapo licha ya kuwepo fununu za mchezaji huyo kushinikiza kuuzwa ambapo klabu ya PSG imeonyesha nia ya kumtaka kwa karibu mshambuliaji huyo
Lakini pia ililipotiwa mshambuliaji huyo kwamba amewaambia wachezaji wenzake kwamba hatoendelea kuwepo klabuni hapo.
No comments:
Post a Comment