Mlinzi mstaafu wa Bayer Munich ambaye ni raia wa Ujerumani, Phillip Lahm amechaguliwa kuwa mchezaji bora nchini Ujerumani.
Mchezaji huyo ambaye alistaafu soka mwishoni wa msimu ulioisha akiiongoza Bayern Munich kwa mara nyengine kunyanyua ubingwa wa Ligi Kuu Ujerumani maarufu kama Bundesliga amechaguliwa kuwa mchezaji bora nchini humo akiwapiku mastaa kibao wanaocheza soka nchini humo.
No comments:
Post a Comment