Sunday, 23 July 2017

Sanchez awakata maini PSG

Nyota wa majirani zetu Arsenal, Alexis Sanchez aipiga kibuti klabu inayomuwania PSG mara baada ya kuwaambia ili ajiunge na klabu hiyo basi atataka mshahara wa Paundi 500,000.

Mchezaji huyo ambaye alianzisha timbwili kwa majirani zetu hao ambao jana tumetoka kuwapiga 3-0 kule kwa akina Jet Li ameiambia klabu hiyo inayomfukuzia kwa karibu PSG akisema  yupo tayari kusaini klabuni hapo ambapo matajiri hao wa Ufaransa wapo tayari kumpa mkataba wa miaka minne na kama ipo tayari basi imlipe mshahara huo utakaomfanya awe mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa barani Ulaya.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.