Mlinzi wa Chelsea, Kurt Zouma bado anaendelea kufukuziwa kwa karibu na klabu ya Valencia iliyokuwa tayari kutoa kiasi cha Euro milioni 10.
Lakini raia huyo wa Ufaransa amedai bado anataka kuendelea kubaki Uingereza na anataka kuendelea kupambania nafasi katika klabu yake ya sasa ya Chelsea.
Mlinzi huyo anatakiwa pia kwa karibu na West Bromwich pamoja na Stoke city, klabu ambazo zote zinashiriki Ligi Kuu Uingereza.
No comments:
Post a Comment