Nyota wa Colombia anayeichezea Real Madrid amefanikiwa kujiunga na klabu ya Bayern Munchen ya Ujerumani kwa mkopo wa miaka 2.
Nyota huyo amejiunga na klabu hiyo katika taarifa iliyotangazwa na klabu yake hiyo mpya kwamba msimu ujao ataitumikia klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment