Saturday, 22 July 2017

Usajili umekamilika; Zouma aungana na Stoke city baada ya Chelsea

Mlinzi wa Chelsea ambaye ni raia wa Ufaransa, Kurt Zouma ameungana rasmi na Stoke city kwa mkopo wa muda mrefu.

Mchezaji huyo ameungana na klabu hiyo baada ya kuichezea Chelsea jumla ya michezo 71 ambapo amekuwa ndani ya Chelsea akicheza kwa mafanikio ambapo mwaka 2014 alisajiliwa rasmi akitokea St.Etienne ya nchini kwao Ufaransa.

Zouma ameungana na Stoke city mara baada ya kusainishwa mkataba mpya na Chelsea, mkataba wa miaka 6 utakaomweka Chelsea mpaka mwaka 2023.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.