Saturday, 22 July 2017

Pedro awaishwa haraka hospitali

Nyota wa Chelsea, Pedro Rodriguez jioni ya leo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal katika mchezo ambao ulishuhudia Chelsea kutoka kimasomaso kwa ushindi wa mabao 3-0.

Pedro alipata ajali hiyo mara baada ya kipa wa Arsenal, Ospina kumpiga kichwani na Pedro kuanguka vibaya ambapo kwa ajali hiyo ilimfanya apasuke kidogo upande wa shavu la kulia na kuvuja damu.

Kwa taarifa zilizopo inataarifiwa nyota huyo amepelekwa hospitali ili kufanyiwa vipimo zaidi na kuangaliwa jeraha limekuwaje.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.