Ni kama dili lishakamilika japo bado haijatangazwa rasmi lakini inaonesha kabisa kwamba Zouma msimu ujao atakuwa mmoja wa wachezaji wa Stoke city japo ataitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja.
Mchezaji huyo mchana wa leo ameonekana kwenye makao ya klabu hiyo ya Stoke city hali ambayo inaonyesha ni kama tayari ashakua rasmi chini ya Stoke city japo kwa mkopo. Na inaelezwa kabla ya kuondoka Chelsea atasaini mkataba mpya ambao inasemekana utakuwa wa miaka 5.
No comments:
Post a Comment