Monday, 17 July 2017

Chelsea yahamia kwa Atletico

Baada ya kuangaika kumrafuta mshambuliaji, sasa Chelsea imepeleka ofa yake kwa mchezaji wa Atletico Madrid ambae ni raia wa Ubelgiji, Yannick Carrasco ambaye ameichezea timu hiyo kwa mafanikio.

Carrasco amepewa ofa ya kusaini mkataba wa miaka mitano na Chelsea endapo atakubali kujiunga na mabingwa hao wa Uingereza.

Carrasco anatajwa kuwa na nafasi finyu katika kikosi cha Atletico na kusaini kwa Griezman mkataba wa miaka mitano klabuni hapo kumemfanya Yannick awe na asilimia ndogo za kuanza kikosi cha kwanza.

Lakini pia klabu yake hiyo ya kumtaka Diego Costa ni kama kunamkosesha matumani Carrasco kuwepo kwenye mipango ya kocha Simeone.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.