Mlinzi mpya wa Chelsea, Antonio Rudiger hakuwepo kwenye kikosi kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Fulham, mchezo ambao Chelsea ilishinda magoli 8 kwa 2.
Rudiger yupo nchini Japan katika jiji la Tokyo ambapo yupo uko akisubiri wenzake ambapo Chelsea itafika uko katika michezo yake ya kirafiki.
Katika michezo hiyo Chelsea itacheza mchezo dhidi ya Arsenal siku ya tarehe 22 mwezi huu wa 7 kabla ya kukutana na Bayern Munich kabla ya kumaliza na Inter Milan siku ya tarehe 28 mwezi huu wa 7.
No comments:
Post a Comment