Monday, 17 July 2017

Usajili umekamilika; Leiva rasmi Lazio

Kiungo mkabaji wa Liverpool, Lucas Leiva amejiunga rasmi na klabu ya Italia, Lazio ambapo Liverpool imevuna kiasi cha Paundi milioni 5 katika usajili wa mchezaji huyo.

Mchezaji huyo ameichezea Liverpool kwa miaka 10. Ambapo sasa ana miaka 30.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.