Sunday, 23 July 2017

Usajili umekamilika; Kolarov aungana na wababe wa Roma

Mlinzi wa Manchester city, Alekszander Kolarov nae ameungana na wachezaji wa zamani wa klabu hiyo akina Clichy, Pablo Zabaleta na Willy Caballero ambao wameachana na klabu hiyo katika kipindi hiki cha dirisha kubwa la usajili mara baada ya mlinzi huyo kuungana na wababe wa jiji la Roma, klabu ya AS Roma.

Dau linalotajwa kutumika kumng'oa mlinzi huyo klabuni hapo ni Paundi milioni 5.8 akiachana na klabu hiyo akiwa na miaka 31 ambapo kocha wa timu hiyo Pep Guardiola alipotangaza kuachana na wachezaji vikongwe.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.