Sunday, 23 July 2017

Usajili umekamilika; Danilo rasmi Man city

Mlinzi wa Real Madrid raia wa Brazil, Danilo amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kuamia Manchester city.

Mlinzi huyo ambaye alikuwa na msimu mbaya chini ya kikosi cha Real Madrid akikosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha kocha Zidane amekamilisha uhamisho huo ulioigharimu Manchester city kiasi cha Paundi milioni 26.5.

Danilo anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Pep Guardiola katika kikosi hicho cha Manchester city ambapo mchezaji huyo aliyekuwa akitakiwa pia na Chelsea amesaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo ya Sheikh Mansour.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.