Mshambuliaji wa Sevilla, Vicent Iborra amesajiliwa na klabu ya Leicester city kwa dau la £15milioni. Mshambuliaji huyo mwenye miaka 29 ameitazamia ligi kuu ya Uingereza kama mahali sahihi kwake.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment