Man utd imekubaliana na Everton katika dili la kumsajili mshambuliaji wao machachari, Romelu Lukaku. Ambapo zimekubaliana kubadilishana £75milioni ambazo zitatolewa na Man utd wakati Lukaku atatoka Everton na kwenda upande wa pili.
Klabu hizo zimefanya biashara hiyo mara baada ya dili la Man utd kumnunua Alvaro Morata kuonekana gumu.
No comments:
Post a Comment