Mshambuliaji matata wa AC Milan, Carlos Bacca amekamilisha usajili wake wa kujiunga na wababe wa Ufaransa, Olympique Marseille.
Mshambuliaji huyo raia wa Colombia amejiunga na Olympique Marseille kwa dau la Paundi milioni 13 ambapo ameichezea AC Milan jumla ya michezo 74 na kuifungia magoli 34.
No comments:
Post a Comment