Monday, 24 July 2017

Terry anyanyua tena kwapa akiwa na Aston Villa

Mchezaji nguli wa Chelsea ambaye kwa sasa anaichezea Aston Villa, John Terry mchana wa leo ameongeza tena historia ya mataji maishani mwake mara baada ya kuiongoza klabu yake hiyo kutwaa taji maarufu kama Tradition Cup.

Terry ambaye aliisaidia Chelsea kutwaa mataji matano ya ligi kuu Uingereza, mataji matano ya kombe la FA na mengine ya kombe la ligi lakini pia akaisaidia klabu yake hiyo kutwaa klabu ya mabingwa Ulaya na kombe la Europa ameiongoza klabu yake hiyo iliyocheza dhidi ya klabu ya Ujerumani, Hertha Berlin na kufanikiwa kushinda 2-0.

Aston Villa haikuwai kutwaa taji lolote kwa muda mrefu ambapo mara ya mwisho kwa taji hilo kutwaa taji ilikuwa mwaka 1996 ilipoifunga Leeds United.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.