Thursday, 13 July 2017

Swansea wakataa dau la Everton

Klabu ya Swansea iliyochini ya Paul Clement aliyewai kuwa kocha msaidizi wa Carlo Ancelloti pindi wakiwa Chelsea imekataa dau la Everton juu ya mchezaji wao nyota Glyfi Sigurdsson aliyekuwa anafukuziwa kwa karibu na klabu iliyofika Tanzania kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu.

Everton walipeleka dau la paundi milioni 40 kwa klabu hiyo ili kumsajili nyota huyo aliekuwa tegemezi wa klabu hiyo msimu ulioisha.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.