Thursday, 13 July 2017

Milan wakitaka kizee cha Juventus

Vincenzo Montella ambaye ni kocha wa AC Milan ameifata Juventus akiwa na Euro milioni 30 na kusema anamtaka mlinzi wa timu hiyo aliyewai kuwaiwa na Conte, Leonardo Bonucci ingawa Juventus wanataka Euro milioni 40 ili kumuachia mkongwe huyo mwenye miaka 30.

Vincenzo mpaka sasaameshatumia Euro milioni 100 katika kufanya usajili wake ambapo sasa ameonyesha nia ya kumtaka mlinzi huyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.