Tuesday, 4 July 2017

Sandro, kinachosubiriwa ni maamuzi yake tu

Alex Sandro kinachosubiriwa kwake ni maamuzi yake kama ni Chelsea au aendelee kubaki Turin katika klabu yake ya sasa ya Juventus.
Juventus wamekuwa kwenye kigugumizi kama wapokee ela ya kiasi cha £60milioni kutoka kwa Chelsea au wamuuze.
Sandro alishakubaliana na Chelsea katika mahitaji binafsi na kilichobaki mpaka sasa ni klabu yake mabingwa wa Italia wakubali tu kumuachia mchezaji huyo mbrazili aungane na mabingwa wa Uingereza, Chelsea.
Kama Alex Sandro akisajiliwa na Chelsea basi atakuwa mchezaji wa bei kubwa kuwai kusajiliwa na klabu hiyo ambapo atavunja rekodi hiyo iliyowekwa na Fernando Torres aliyesajiliwa na klabu hiyo kwa £60milioni.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.