Tuesday, 4 July 2017

Sakho sio wa bei hiyo

Klabu ya Crystal Palace imeiambia Liverpool ni kiasi kikubwa wanakitaka juu ya mchezaji wao, Mamadou Sakho.

Crystal Palace wanamtaka mlinzi huyo ambaye msimu uliopita aliutumia kuichezea klabu hiyo lakini Liverpool wametangaza dau la £30milioni, dau ambalo Crystal wanaona ni dau kubwa sana.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.