Friday, 21 July 2017

Sandro bado hali tete Chelsea

Mlinzi wa Juventus, Alex Sandro bado anatakiwa na Chelsea ingawa kumekuwa na kigugumizi na mabingwa hao wa Serie A, Juventus.

Klabu hiyo bado inaonekana kuweka ngumu huu ya mchezaji huyo ambapo Chelsea ilikuwa tayari kutoa dau la kumfanya kuwa mlinzi ghali duniani.

Juventus wanaonekana ni vigumu kumwachia mlinzi huyo kwa kuwa timu hiyo mpaka sasa ishawapoteza watu kama Leonardo Bonnucci aliyetimkia AC Milan, na Dani Alves aliyetimkia PSG.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.