Kwa magoli haya ya mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata aliyoyafunga akiwa Real Madrid msimu uliopita? Basi hakika mchezaji huyo nyota akikutana na wenzake akina Hazard, Pedro na zile pasi za Fabregas basi hakuna shaka Chelsea itabeba makombe yote msimu ujao
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment