Klabu ya AC Milan imeingia katika mapambano ya kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata ambaye pia anawaniwa na Chelsea.
Antonio Conte amekuwa akitajwa kupambana ili kumsajili mshambuliaji huyo ambaye waliwai kufanya kazi pamoja wakiwa Juventus, na sasa ni kama amepata upinzani mkubwa katika kumsajili mshambuliaji huyo mara baada ya AC Milan kuonyesha nia ya kumtaka.
No comments:
Post a Comment