Thursday, 13 July 2017

Man city waamia kwa Walker

Baada ya kufanywa unyama juu ya usajili wa Dani Alves, sasa kocha wa Manchester city, Pep Guardiola ameifata klabu ya Tottenham iliyo chini ya Pochettino a kuonyesha nia ya kumtaka mlinzi wa klabu hiyo, Kye Walker.

Pep yupo kwenye kimuhemuhe kikubwa baada ya kuifanyia mabadiliko klabu yake baada ya kuwatimua vikongwe ambapo mpaka sasa Zabaleta, Clichy na Caballero washaachana na klabu hiyo.

Tottenhama wamesema wapo tayari kumuuza Walker lakini kwa klabu ambayo ipo tayari kutoa paundi milioni 50.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.