Hatimaye Chelsea yacheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Fulham katika mechi ambayo haikuwa rasmi, ni kama kualikana tu kama majirani ukizingatia Fulham ipo jirani sana na Chelsea.
Katika mchezo huo Chelsea ilishinda magoli 8 kwa 2 ambapo pia mchezaji mpya Tiemoue Bakayoko alikuwa nje akiwaangalia nyota wenzake.
No comments:
Post a Comment