Kiungo wa Liverpool ambaye mara kadhaa amekuwa akicheza kama mlinzi wa kati, Lucas Leiva ametua nchini Italia ili kufanyiwa vipimo na klabu ya Lazio inayokaribia kumnasa kwa dau la Paundi milioni 5.
Mchezaji huyo mwenye miaka 30 ameichezea Liverpool miaka 10 ambapo katika michezo 247 ndio ameitumikia klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment