Chelsea imeingia katika vita dhidi ya klabu yenzake ya West Ham juu ya mshambuliaji wa kimexico, Chicharito anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani.
Chelsea imekuwa ikihangaika kutafuta mshambuliaji mara baada ya nafasi ya Diego Costa kuendelea kubaki katika kikosi hicho inaonekana ni ndogo sana.
Chelsea inahangaika kutengeneza kikosi kuelekea msimu mpya na mpaka sasa kuna taarifa za klabu hiyo kumuwania pia Higuain, Aubameyang na Morata.
No comments:
Post a Comment