Monday, 17 July 2017

Matic apanga kukutana na Marina

Katika gazeti moja la Italia, katika ukurasa wake wa mbele kabisa kumewekwa picha za watu wawili.

Wa kwanza ni mchezaji wa Fiorentina, Federico Bernardeschi na mwengine akiwa ni kiungo wa Chelsea, Nemanja Matic ambae wote wanatakiwa na Juventus.

Matic pia amekuwa akitajwa na kuwaniwa na klabu kadhaa kama Man utd, Inter Milan na sasa Juventus wameingia katika hilo.

Matic, 28 amepanga kwenda kuonana na kiongozi wa Chelsea, Marina Granovskaia ambaye yupo Chelsea akiwa kama kiongozi mkubwa. Matic ameamua kuonana na Marina na amuombe apunguziwe thamani yake ili aweze kuondoka klabuni hapo.

Chelsea inahitaji kiasi cha Paundi milioni 40 ili kumuuza nyota huyo mserbia ingawa mwenyewe baada ya kuona hanunuliwi na muda unazidi kwenda.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.