Kwa wale waliowai kufika Stamford Bridge wanaweza kuwa mashuhuda wa mtandao katika intaneti kwa mahali hapo haswa maeneo ya pale unavyosumbua.
Sasa kuanzia msimu ujao hakutokuwa na tabu tena ya mtandao na badala yake utapata urahisi wa kutumia intaneti kwa urahisi na kasi kubwa.
Ndio kwa kasi kubwa. Hii ni baada ya Chelsea kusaini mkataba na kampuni inayoshughulika na mambo ya mtandao na kuanzia msimu huo hakutakuwa na matatizo yoyote ya intaneti uwanjani hapo.
Ambapo kwa kila aliyepo maeneo hayo atatumia intaneti ya bure yaani kwa njia ya Wi-Fi.
No comments:
Post a Comment