Baada ya Conte kuonekana anakaribia kumchukua mchezaji nyota wa Monaco, Bakayoko lakini anakaribia kumpoteza nyota wake mwengine, Nemanja Matic.
Taarifa za Bakayoko kutua Chelsea zimemwamsha Matic na kusemekana anaulazimisha uongozi umuuze maana anaona ujio wa nyota huyo mfaransa utamfanya asugue benchi na yeye hilo hataki kuliskia.
No comments:
Post a Comment