Makocha na wakufunzi wa Chelsea wamefanya dhiara nchini Urusi mapema mwezi huu katika kufanya mafunzo au kliniki kwa makocha wachanga juu ya masuala yote ya ukocha ambapo mafunzo hayo yaliendeshwa na Chelsea yenyewe.
Ikumbukwa Chelsea inamilikiwa na Roman Abramovich ambaye ni raia wa nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment