Winga hatari wa Chelsea ambaye ana uraia wa Ubelgiji, Eden Hazard anaendelea vyema baada ya kutaarifiwa anakaribia kuanza kufanya mazoezi mepesi ili kujiweka sawa
Mchezaji huyo amepiga picha akiwa na gwiji wa Brazil, Ronaldo De Lima ambaye mpaka sasa winga huyo wa Chelsea inadaiwa ametoa ogo alilokuwa nalo.
No comments:
Post a Comment