Saturday, 22 July 2017

Magoli 109 ya Chelsea wa msimu wa 2016-2017

Je ulikuwa unaijua hii? goli la kwanza la Chelsea katika msimu wa 2016-2017 lilifungwa na Eden Hazard wakati goli la mwisho ambalo ndilo lilifunga akaunti ya magoli jumla ya magoli 109 ya Chelsea kwa msimu huo lilifungwa na Diego Costa, je umegundua kitu hapo?

Kumbe Chelsea ilipata magoli hayo yaani la kwanza na la mwisho kwa timu za London, yaani West Ham ambao ndio walifungwa goli la kwanza na Arsenal wakifungwa la mwisho zote zinatokea katika jiji la London.

Nimekuwekea hapa video ya magoli yote 109 yaliyofungwa na mabingwa hao wa Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.