Friday, 7 July 2017

Madrid wapo tayari kufanya biashara na Chelsea

Mabingwa wa kihistoria wa klabu bingwa Ulaya maarufu kama Uefa Champions League, Real Madrid wapo tayari kupokea ofa juu ya mchezaji wao mcolombia, James Rodriguez.
Mchezaji huyo mwenye miaka 25 amekuwa na kipindi kigumu ndani ya klabu yake hiyo na anaonekana hayupo katika mipango ya kocha Zidane na kwa maana hiyo Chelsea ni kama imechochewa katika jitihada zake za kumsajili mchezaji huyo mara baada ya klabu hiyo ambayo pia ni mabingwa wa ligi kuu nchini Hispania kuonekana kuridhishwa na dau lililotolewa na klabu hiyo.
Chelsea ipo tayari kutoa £52 milioni kiasi ambacho Real Madrid wanaonekana kuvutiwa nacho katika kumuuza mchezaji huyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.