Miamba ya London Kaskazini, Arsenal wameshindwana na dau la nyota wa Algeria anayeichezea Leicester city, Riyad Mahrez.
Mwanzoni biashara hiyo ilionekana kufikia pazuri na winga huyo alionekana anakaribia kutua muda wowote, lakini sasa dili hilo limevunjika baada ya Leicester city ilipohitaji £50milioni lakini klabu hiyo ya Arsenal ilisema dau pekee hilo ambalo wangeweza kulitoa kwa mchezaji huyo ni £35milioni.
No comments:
Post a Comment