Thursday, 6 July 2017

Clichy kutimkia Uturuki

Aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Manchester city, Gael Clichy yupo kwenye mazungumzo na klabu ya nchini Uturuki ya Istanbul Başaksehir ambayo imeonyesha nia ya kumtaka mlinzi huyo mara baada ya kuachana na klabu ya Manchester city.

Mlinzi huyo aliachwa na Pep Guardiola ambaye alipanga kukifanyia mabadiliko makubwa kikosi hicho alipodai kimejaa wazee wengi, na kuna wachezaji wengi wanaonekana wapo mguu nje katika klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.