Beki wa Liverpool, Dejan Lovren amesifia ujio wa Mohammed Salah katika klabu hiyo.
Dejan Lovren alisema "msimu uliopita tulipata tabu haswa pale alipoumia Sadio Mane, lakini kwa ujio wa Salah naona ataleta uwezo mkubwa katika timu"
"Anahitaji muda zaidi wa kuizoea ligi na Liverpool lakini katika uwezo wengi tumeona alivyo na kipaji"
Salah amesajiliwa na Liver akitokea Italia katika klabu ya As Roma kwa dau la Paundi milioni 35.
No comments:
Post a Comment