Ni mfululizo wa kocha Pep Guardiola kuachana na wachezaji vikongwe au wenye umri mkubwa klabuni hapo.
Alekszander Kolarov ambapo mchezaji huyo anatajwa kutakiwa na AS Roma ya nchini Italia.
"Alinifata ofisini na kunambia anataka kuondoka, na AS Roma wanataka kumchukua, namtakia kila la kheri" alisema kocha huyo ambapo mpaka sasa ashaachana na vikongwe watatu Caballero, Clichy na Pablo Zabaleta.
No comments:
Post a Comment