Chelsea rasmi yamnasa Alvaro Morata kwa dau la Paundi milioni 70, hapa nimekuwekea video akiingia kwa mara ya kwanza ndani ya kiwanja cha mazoezi cha Chelsea, Cobham. Ambapo alikaribishwa pia na kiungo mpya wa klabu hiyo aliyesajiliwa akitokea AS Monaco, Tiemoue Bakayoko.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment