Tuesday, 11 July 2017

Diego Costa ni kama mkimbizi ndani ya Chelsea

Gazeti moja huko Ulaya linaloitwa Telegraph limeeleza nafasi ya Diego Costa kuitumikia tena klabu yake ya Chelsea katika msimu ujao ni ndogo sana.
Gazeti hilo limeeleza mchezaji huyo ambaye klabu yake ya zamani ya Atletico Madrid imefanya mazungumzo ili kuungana tena na mchezaji huyo ambaye anaonekana hana nafasi tena kwa Conte.
Mchezaji huyo inasemekana hatopewa hata nafasi ya kucheza ndani ya Chelsea katika michezo ya klabu hiyo kujiandaa na msimu ujao katika michezo ya kirafiki.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.