Tuesday, 11 July 2017

Aina ajiunga na Hull city

Kinda wa Chelsea, Ola Aina ametangazwa kujiunga na klabu ya Hull city inayoshiriki ligi daraja la kwanza la Uingereza maarufu kama Championship.
Mchezaji huyo raia wa Uingereza amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa msimu wa 2017-2018.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.