Tuesday, 11 July 2017

Aubameyang atajwa ndani ya Chelsea

Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund ambaye ana asili ya Africa pale katika nchi ya Gabon, Pierre Aubameyang amehusishwa kutua Chelsea baada ya klabu hiyo kushindwa kuipata saini ya Romelu Lukaku.
Chelsea imeweka mezani kiasi cha Euro milioni 70 (€70milion) ambapo inatafuta saini ya mshambuliaji ambae ataziba pengo la Diego Costa anayeonekana kutokuendelea kuwepo katika kichwa cha Conte katika kikosi cha Chelsea msimu ujao.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.