Baada ya Chelsea kujihakikishia kutua kwa kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko katika klabu hiyo ya London Magharibi sasa mlinzi wa kulia wa Real Madrid ambaye alisajiliwa akitokea FC Porto, Danilo.
Chelsea imekaribia kumsajili mlinzi huyo ambaye alikuwa hana nafasi katika kikosi cha Zidane. Kwa hiyo Chelsea ambayo inajipanga kujiimarisha katika kikosi chake kuelekea msimu itakayoshiriki mashindano mengi imekubali kulipa paundi milioni 28 ili kumsajili beki huyo.
No comments:
Post a Comment