Saturday, 8 July 2017

Chelsea yamtaka Lukaku yamkataa Raiola

Chelsea bado imerudi kwa Lukaku ingawa mchezaji huyo amekuwa akitajwa kujiunga na Man utd klabu ambayo imekubali kutoa kiasi cha pesa ambacho klabu yake anayoichezea kwa sasa, Everton inakitaka. Everton inataka £75 milioni na Man utd imeshasema inamtaka mchezaji huyo.
Lakini Chelsea na wao wamerudi kwa mchezaji wao huyo wa zamani ambaye alitua Chelsea akitokea kwao katika klabu ya Anderlecht, The Blues imerudi na imesema ipo tayari kutoa hizo £75 milioni ingawa yenyewe haitotoa ela ya udalali ya wakala wa mchezaji huyo, Mino Raiola.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.