Klabu ya Everton imefanya usajili mwengibe mara baada ya kumnunua mchezaji kinda akitokea katika klabu ya QPR ambapo amesaini klabuni hapo mkataba wa miaka 3.
Mchezaji huyo anatarajiwa kuungana moja kwa moja na klabu ya 'academy' ya vijana wa Everton wa umri chini ya miaka 23.
No comments:
Post a Comment